Wabunge Dk Puja na Sebba Walioteuliwa na Rais Kikwete Waapishwa Rasmi Na Spika wa Bunge. - LEKULE

Breaking

27 Mar 2015

Wabunge Dk Puja na Sebba Walioteuliwa na Rais Kikwete Waapishwa Rasmi Na Spika wa Bunge.

Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Dkt Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015

Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.

No comments: