Rafael Nadal,Roger Federer washinda - LEKULE

Breaking

18 Mar 2015

Rafael Nadal,Roger Federer washinda

Mcheza tenesi nyota Rafael Nadal ameingia raundi ya nne ya michuano ya wazi ya BNP Paribas
Nadal alimchapa Mmarekani Donald young kwa jumla ya seti 6-4 6-2.
Katika mchezo unaofuta nadal atachuana na Mfaransa Gilles Simon katika hatua ya kumi na sita bora
Huku Roger Federer nae akimlaza mpinzani wake Andreas Seppi kwa seti 6-3 6-4 na atachuana na Jack Sock anayeshika nafasi ya 58, katika hatua ya kumi na sita.
Mwingereza Andy Murray, atakua na kibarua kizito siku ya leo kuwania kuingia hatu ya robo fainali kwa kuchuana na Adrian Mannarino, wa Ufaransa.

No comments: