MTOTO ALIBINO AKATWA MKONO RUKWA JANA - LEKULE

Breaking

9 Mar 2015

MTOTO ALIBINO AKATWA MKONO RUKWA JANA



Mtoto albino, Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, mkoani Rukwa jana ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomea nacho kusikojulikana.

No comments: