Davina: Mume Wangu Ataniua Kwa Wivu - LEKULE

Breaking

28 Mar 2015

Davina: Mume Wangu Ataniua Kwa Wivu



Staa wa kike anayetesa katika filamu za kibongo Halima Yahya 'Davina' amefunguka kuwa mumewe anamuonea sana wivu kiasi cha kumfanya ajihisi kama malkia katika ndoa yao.

Akiteta na Mpekuzi, Davina alisema: "Mume wangu ananionea sana wivu hasa siku hizi nilizojazia, lakini wivu wake unaongeza chachu ya mapenzi.

"Yaani nikichelewa kidogo tu anagomba mpaka baaasi.Lakini kwangu mimi sioni kama ni kero.Najisikia furaha kuona nipo na mwanaume anayenipenda kwa dhati."

No comments: