Dakika ya 42 Joel Ward alipachika tena bao la tatu na kuwaua zaidi QPR kwa kufanya 3-0 baada ya kupata mpira kutoka kwa Wilfried Zaha bao hilo lilihitimisha kipindi cha kwanza Crystal Palace wakienda mapumziko Vifua wazi kwa bao 3-0 kwenye Uwanja wao wa Nyumbani Selhurst Park, London wakiongozwa na Mwamuzi L. Mason.
James McArthur dakika ya 40 alipachika bao la pili na kufanya 2-0 baada ya kulishwa mpira na Yannick Bolasie.
W. Zaha kawapachikia bao mapema dakika ya 21 na kufanya 1-0 dhidi ya QPR
Matt Phillips akishangilia bao lao QPR la pekee na dakika za lala salama
VIKOSI:
Crystal Palace starting XI: Speroni, Ward, Delaney, Dann, Kelly, McArthur, Ledley, Puncheon, Zaha, Bolasie, Murray
Subs: Hennessey, Hangeland, Maiappa, Souare, Ameobi, Sanogo, Gayle
QPR starting XI: Green, Furlong, Caulker, Onouha, Suk-Young, Wright-Phillips, Sandro, Henry, Phillips, Taarabt, Austin
Subs: McCarthy, Hill, Kranjcar, Hoilett, Vargas, Zamora, Grego-Cox
No comments:
Post a Comment