Mahakama ya Malaysia imemkuta na
hatia ya mauaji mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya wanafunzi wawili wa
udaktari kutoka nchini Uingereza.Mauaji hayo yanadaiwa kufanyika August
mwakajana katika kisiwa cha Borneo.
Jaji wa mahakama hiyo amesema
mahakama imeidhishwa na ushahidi dhidi ya mshitakiwa na kuona anastahili
adhabu. Hukumu hiyo inayomkabili Zulkipli Abdullah anadaiwa kuwaua Neil
Dalton na Aidan Brunger.Kwa mjibu wa hukumu hiyo ya mauaji, Abbdullah atanyongwa hadi kufa
No comments:
Post a Comment