Hwakamati tena labda uwaombee njaa ya kukosa magoli,leo ndani ya sokoine stadium wamejichungulia point tatu muhimu zinazowafanya waongoze VPL.
Bila huruma leo wamemchapa 3-1 Mbeya City tena nyumbani kwao Mbeya.
Hongereni watani wetu ila sisi Msimbazi bado tunajiuliza nani anatuloga kwani leo tumelowana tena huko Shinyanga kwa kufungwa goli moja tu na stand

No comments:
Post a Comment