Picha: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu - LEKULE

Breaking

25 Feb 2015

Picha: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu


Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’  imewakuna watu wengi  na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana.
 
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.

 “Kwanini lakini!!!!!?????? @jotimdebwedo ..Angalau umefanya siku yangu iwe nzuri kidogo leo... ila sio kwa skuna hizo!!!! … kwa kumuangalia tu anapendezea kufanya kazi wapi!? amefanania na ofisi gani!!???? “- Zamaradi Mtetema aliandika haya mara baada ya kuiona hii.

No comments: