Jeshi la China laingia Sudan Kusini - LEKULE

Breaking

27 Feb 2015

Jeshi la China laingia Sudan Kusini

Uchina imesema kuwa kikosi chake kwa kwanza maalum cha kijeshi kilichojumuishwa wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa mataifa kimeanza shughuli zake nchini Sudan kusini.

Katika kipindi cha majuma machache yajayo, jumla ya wachina mia saba watawasili nchini humo .

Watakuwa na ndege zisizokua na rubani, vifaru na makombora.

Uchina haijawahi kuwatuma maelfu ya walinda amani , lakini imekuwa zaidi ikitoa misaada kwa ajili ya amani. .

No comments: