Fundi Saa Apokea Kichapo kizito Akidaiwa Kumlawiti Mtoto jijini Arusha - LEKULE

Breaking

19 Feb 2015

Fundi Saa Apokea Kichapo kizito Akidaiwa Kumlawiti Mtoto jijini Arusha

Mwanaume  mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha jana alipokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.

No comments: