BAO LA MAPEMA LA NGASSA LAIVUSHA YANGA ROUND YA PILI LICHA LA KULALA UGENINI 2-1 - LEKULE

Breaking

27 Feb 2015

BAO LA MAPEMA LA NGASSA LAIVUSHA YANGA ROUND YA PILI LICHA LA KULALA UGENINI 2-1

Dk 29, Ngassa analiifungia Yanga bao safi kwa kichwa cha kuchupa baada ya basi nzuri ya Amissi Tambwe aliyeuwahi mpira alioutema kipa wa BDF. Kipindi cha pili BDF XI walirudi na moto na kufanikiwa kuwabana yanga na kurudisha bao na kuongeza la pili lakini na matokeoa kusomeka mwisho wa mchezo 2-1 yanga wanafaida na bao la ugenini na pia ushondo wa 2 bila majibu walioupata Tanzania katika mchezo wao wa Tanzania uliwaakikishia kuwa na kazi nyepese kwenye mchezo wa marudiano. Kwaiyo kwa matokeo hayo Yanga wana songa mbele kwa kuwa na magoli 3  kwa mawili ya BDF XI. 

No comments: