A to Z, na REGINALD MENGI (@regmengi) wamsaidia MH LOWASSA jimboni, wachangia shule iliyoungua moto - LEKULE

Breaking

19 Feb 2015

A to Z, na REGINALD MENGI (@regmengi) wamsaidia MH LOWASSA jimboni, wachangia shule iliyoungua moto

Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z Cha Arusha  Anoji Shah akiwaeleza wanafunzi wa shule ya sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani Monduli umuhimu wa elimu na pia kutangaza msaada wa enzi wa mabweni yote mawili yaliyoteketezwa kwa moto wiki mbili zilizopita.
Mbunge wa Monduli na waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa akisalimiana na wanafunzi wa shule hiyo.Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea.Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP amechangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda.



No comments: