Kinachoendelea Nigeria kw sasa ni kitu cha kusikitisha sana, Mauaji ya
watu wasiokuwa na hatia kutokana na matukio ya kigaidi yanazidi
kuendelea nchini humo.
Baada ya
kundi la kigaidi la Boko Haram kudia wao ndio wanaohusika na mauaji
hayo baada ya kuteketeza kijiji kinachoitwa Baga na vijiji vingine
takriban kumi na tano na kuuwa watu zaidi ya 2,000 kuanzia january 3
American Rapper ambae mwenye asili ya Nigeria, Wale,
amefunguka kuelezea matukio hayo, ukizingatia kuwa baba yake mzazi bado
anaishi nchini Nigeria
Wale amesema hataki hata kuona hizo picha zinazosambaa kwenye mitandao
zikionyesha miili ya watu waliofariki kutokana na matukio hayo
"Its so crazy kwamba wametumia vitu mbali mbali kuulia watu, mauaji ambayo hayana mipaka
No comments:
Post a Comment