Uwanja wa R Madrid kuitwa Abu Dhabi - LEKULE

Breaking

29 Jan 2015

Uwanja wa R Madrid kuitwa Abu Dhabi



Uwanja wa Real Madrid wa Santiago Bernabeu huenda ukabilidishwa jina ikiwa ni miongoni mwa makubaliano ya ufadhili wa yuro millioni 500.
Mkataba huo na kampuni ya kimataifa ya uwekezaji wa mafuta kutoka miliki za kiarabu uliwekwa mwaka uliopita.
Unashirikisha haki za kubadilisha jina la uwanja huo wa Barenabeu,ambapo ndio chimbuko la kilabu hiyo tangu mwaka 1947 na ambao ndio uliokuwa uwanja wa fainali za kombe la dunia mwaka 1982.
Jina ambalo pande zote wameafikia ni Abdu Dhabi Santiago Bernabeu ama Cepsa Santiago Bernabeu

No comments: