Ubelgiji yafanya msako mkali wa magaidi - LEKULE

Breaking

16 Jan 2015

Ubelgiji yafanya msako mkali wa magaidi

Ubelgiji imefanya operesheni kali ya ugaidi ikiwasaka watuhumiwa wanaodaiwa ni wapigani wa kiislamu waliorejea kutoka Syria.

Watuhumiwa wawili wa ugaidi wameuawa na mmoja anashikiliwa na vyombo vya usalama katika mji wa Vere viee , baada ya Watu hao kuwashambulia polisi kwa bomu.

Meya wa mji huo anasema sasa hali ni shwari na inaelezwa kuwa Polisi iliwashuku kuwa watu hao walikua na mipango ya kutekeleza shambulio la kigaidi dhidi ya maafisa wa polisi na kwenye vituo vya Polisi.


No comments: