Simba SC Vs JKT Ruvu imemalizika. - LEKULE

Breaking

31 Jan 2015

Simba SC Vs JKT Ruvu imemalizika.


Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo January 31 katika viwanja mbalimbali ikiwemo Uwanja wa Taifa Dar, ambapo timu ya Simba Sports Club walikuwa wakipambana na JKT Ruvu kusaka point tatu muhimu za ushindi.

Mpaka dakika tisini zinakamilika matokeo yalikuwa hivi, Simba SC walikuwa na goli 2 wakati JKT Ruvu walishinda goli 1.

Matokeo hayo ni nafuu kwa Simba kupata point tatu muhimu baada ya timu hiyo kutokana na kutoa sare mechi saba, kufungwa mbili na hii imekuwa ni ya tatu kwao kupata ushindi katika ligi hiyo















No comments: