Polisi: Tulizuia Maandamano ya CUF Kuhofia Bunduki Zilizoibiwa Ikwiriri - LEKULE

Breaking

29 Jan 2015

Polisi: Tulizuia Maandamano ya CUF Kuhofia Bunduki Zilizoibiwa Ikwiriri



Jeshi La Polisi limetoa sababu za kwanini lilizuia maandano ya wafuasi na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kwamba ni kutokana na kuibwa kwa bunduki saba katika kituo cha Polisi Ikwiriri wilayani Rufiji, mkoani Pwani ambazo pengine zingeweza kutumika katika mkusanyiko wa watu.



No comments: