Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni (hiyo hapo juu) ikiwa kama ni “ThrowBackThursday” (TBT) yake, na kuiandikia mameno haya;
“Let me ThrowitBack ,Shikana Mama, Enzi ZaUjana
Sijawahi kuwa mweusi lol..! Rangi Ya Mtume Nimezaliwa Nayo”
Wengi walimsifu na kumpongeza Lulu kwa kuweza kuitunza ngozi yake kwakutupia “comments” na kugonga “likes” za kutosha kwenye picha hiyo, kwani anaonekana kuwa hatumii madawa/vipodozi ya kujichubua kama wadada wengi wa siku hizi hutumia madawa/vipodozi ili kubadili rangi za ngozi zao.
Jiwe gizani, wewe je hautumii? Hata wa kaka nao nasikia wamo!!!!.
No comments:
Post a Comment