Mshauri wa masuala ya usalama
nchini Nigeria amesema kuwa ameiambia tume ya uchaguzi nchini humo
kuchelewesha uchaguzi wa mwezi ujao ili wapate muda wa kusambaza kadi za
kupigia kura.
Akiongea mjini London Sambo Dasukime alisema kuwa kadi milioni 30 bado zinasalia kusambazwa kote nchini NigeriaAmesema kuwa ni kadi milioni 39 ambazo zilisambazwa mwaka mmoja uliopita
Rais Goodlack Jonathan anawania tena urais akikabiliwa na upinzani kutoka kwa kiongozi wa zamani wa kijeshi Mohamadu Buhari.
No comments:
Post a Comment