Kocha wa Timu ya Chelsea Jose Mourinho amesema kwa sasa hawana nafasi ya kumsaini mchezaji Lionel Messi kwa kuwa hakuna Fedha ya kutosha kumsajili mchezaji huyo .
Mourinho amesisitiza kuwa hawana uwezo wa kuvunja rekodi ya kumsajili mshindi huyo wa Ballon d'Or Messi, ambaye anahitaji ofa ya pauni milioni 205 kutolewa kutoka klabu ya Barcelona, na kwenda Stamford Bridge katika siku za hivi karibuni .
Mwezi Novemba Messi aligusia kwa mara ya kwanza kuwa angependa siku moja andoke Barcelona, na kwa upande wake mchezaji Cesc Fabregas alisikika akisema anatamani apate nafasi ya kucheza sambamba na Nyota huyo wa Argentina kwa mara nyingine tena.
No comments:
Post a Comment