FOLENI KERO JAMANI - LEKULE

Breaking

4 Sept 2014

FOLENI KERO JAMANI

Kwa kila siku mtanzania wa kawaida anayeishi katika jiji la Dar es Salaam hupoteza masaa matatu hadi manne katika folen.Yaan huamka saa kumi na moja asubuhi kuwahi kazin anapanda gari saa kumi na mbili kasoro alaf anafika kazin saa mbili kamili au saa mbili na nusu amechoka tayari kwa kitendo cha kukaa kwenye folen kwa muda mrefu.Anafanya kazi kwa masaa saba na nusu na ukitoa vile vipindi vya chai na chakula cha mchana ni kama anafanya kazi kwa saa tano na nusu.Alaf saa nane mchana anafunga ofisi kurudi nyumbani anafika nyumban kwake saa kumi na moja jioni.KWANINI tusikubaliane hizo folen zinaturudisha nyuma kimaendeleo.

No comments: