Mtangazaji maarufu wa bongo Maimatha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa.Shuhuda alimshuhudia Maimatha akiwa anachechemea kwenye sherehe moja ya kitchen party hivi karibuni huku akiwa bado amevaa viatu virefu alipoulizwa kulikon anachechemea alijibu kwamba ameteguka baada ya kudondoshwa na viatu virefu .
Nimeumia mguu baada ya kudondoshwa na hivi viatu virefu lakini sikomi kwa sababu navipenda sana na nikivaa ndiyo nakuwa mrembo zaidi, alisema Maimatha.
No comments:
Post a Comment