Hapa ndio msafara kutoka Dar Es Salaam unawasili mlandizi ilikuwepo bajaji moja,noha moja,carina moja na costa moja ambayo haipo pichan kwa sababu mpiga picha ndimo alikokuwa amepanda.
Idara ya maakuli wadada wa mlandizi wanarekebisha kitendo










Baada ya tukio zima ilikuwa ni kupiga picha na ndugu jamaa,marafiki
Tukio zima hili hapa jaman


No comments:
Post a Comment