Nenda kaka nasi tupo kwenye msafara - LEKULE

Breaking

19 May 2014

Nenda kaka nasi tupo kwenye msafara




Mazishi ya msanii maarufu Adam Kumbiana yatafanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni,na shughuli ya kumuaga marehemu itafanyika kesho hiyo hiyo katika viwanja vya Leaders Club kesho tarehe 20/05/2014.

MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE EE.. BWANA,. APUMZIKE KWA AMANI.

No comments: