NAMSHUKURU MUNGU KWA KUMPONYA MKE WANGU. - LEKULE

Breaking

9 Jan 2014

NAMSHUKURU MUNGU KWA KUMPONYA MKE WANGU.

Mwaka 2013 tarehe za mwisho kabisa hazikuwa nzuri sana katika familia yangu kwani mke wangu kipenzi Mrs.Asia Lekule alisumbuliwa na malaria kali iliyompelekea kulazwa hospitalini kwa matibabu zaidi.Alilazwa tarehe 31/12/2013 ili kupata matibabu zaidi na uchunguzi wa madaktari.Madaktari walimruhusu kurudi nyumbani kwa maana kwamba amepata nafuu.



Mrs.Asia Lekule akiwa amelazwa wodini hoi ajitambui.


Pia shukrani nyingi zimfikie shemeji yangu Mage kwa kunisaidia kwa hali na mali katika kummuguza mke wangu.Namwombea kwa Mungu akupe moyo huo huo wa kusaidiana wakati wa matatizo na raha.I respect you my sister in law goodbless you forever.


.
Shemeji yangu Mage.

No comments: