BANGKOK........,Waziri Mkuu wa Thailand,Yingluck Shinawatra ameanza kuitumia sheria maalumu ya usalama katika mji mkuu,Bangkok na katika sehemu za karibu ya mji huo baada ya waandamanaji kuzivamia wizara muhimu,kwa lengo la kuangusha serikali.Sheria hiyo maalumu ambayo imeshaanza kutumika katika wilaya kadhaa za mji mkuu,inawapa polisi mamlaka zaidi ya kuzifunga barabara,kutoa amri ya kuwazuia watu kutoka majumbani mwao na kupiga marufuku mikusanyiko ya watu.Maandamano makubwa tokea mwaka 2010 yanafanyika nchini Thailand kumpinga Shinawatra na nduguye Thaksin Shinawatra.
18 Dec 2013
New
SHINAWATRA AJARIBU KUDHIBITI GHASIA.
About SOSTENES LEKULE JR
Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment