MEL B KULA CHRISMAS RWANDA NA MH.KAGAME. - LEKULE

Breaking

22 Dec 2013

MEL B KULA CHRISMAS RWANDA NA MH.KAGAME.

Mmoja wa wanamuziki waliokuwa wanaunda kundi la Spice Girl,Melanie Janine Brown aka Mel B amealikwa nchini Rwanda kula sikukuu ya Chrismas.Mel B aliliambia gazeti la Daily Mirror kuwa akiwa nchini Rwanda Mel B atafikia nyumbani kwa Raisi Kagame.Chrismas ipo tofauti kila mwaka,Mel B aliliambia gazeti hilo.Mwaka jana tulikuwa Australia na ilikuwa nzuri,lakini mwaka huu tumeamua kwenda Rwanda na trutakaa kwa Raisi Kagame.Mwaliko huo Mel B aliupata kupitia watoto wawili wa Kagame wanaoishi New York Marekani.

No comments: