Tazama magoli ya mchezo wa La Liga, Barcelona 6 – 0 Getafe - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 13 March 2016

Tazama magoli ya mchezo wa La Liga, Barcelona 6 – 0 Getafe

Neymar
Barcelona imezidi kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa kombe la Ligi Kuu ya Hispania kwa msimu mwingine baada ya kuibuka na ushindi wa goli sita kwa bila dhidi ya Getafe.
Magoli ya Barca yalifungwa na Victor Rodriguez aliyejifunga dk. 8, Haddadi dk. 19, Neymar dk. 32, 51, Lionel Messi dk. 40, Arda Turan dk. 57.
Baada ya ushindi huo Barcelona imefikisha alama 75 na kuwa mbele kwa alama nane na timu inayoshika nafasi ya pili ya Atletico Madrid.
Magoli ya mchezo huo wa Barcelona na Getafe unaweza yatizama hapa chini; 


Tuma Maoni

Post a Comment