WANAHABARI WALIMINYA SAUTI ZA WANAWAKE UCHAGUZI MKUU – UTAFITI

Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga akifungua warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, ambayo pia ilishirikisha wahariri kutoka vyombo anuai vya habari nchini Tanzania. Warsha hiyo iliandaliwa na TAMWA.

Mwezeshaji katika warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, Valeria Msoka akizungumza katika warsha hiyo.
Mwezeshaji katika warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, Valeria Msoka akizungumza katika warsha hiyo.
Mwezeshaji katika warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, Valeria Msoka (kulia) akizungumza katika warsha hiyo.
Mwezeshaji katika warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, Valeria Msoka (kulia) akizungumza katika warsha hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga (kulia) akifungua warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, ambayo pia ilishirikisha wahariri kutoka vyombo anuai vya habari nchini Tanzania. Warsha hiyo iliandaliwa na TAMWA.

Bi. Stella Jairos ambaye ni miongoni mwa wagombea walioshiriki Uchaguzi Mkuu 2015 wakizungumza kuelezea changamoto anuai katika warsha hiyo. Bi. Jairos aligombea Ubunge Vitimaalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma.

Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimesema wanawake waliogombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 walikosa nafasi ya kutosha kuzungumza kwenye vyombo vya habari. Alisema utafiti mdogo walioufanya katika vyombo vya habari kadhaa ulibaini kuwa ni asilimia 11 tu ya wanawake wagombea ndio walipata nafasi ya kuandikwa katika magazeti wakati wa uchaguzi huo.
Takwimu hizo zilitolewa jana katika semina ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea na Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga alipokuwa akifungua semina hiyo ambayo pia ilishirikisha wahariri kutoka vyombo anuai vya habari nchini Tanzania.
Alisema katika utafiti huo uliofanywa kwa miezi miwili yaani Septemba na Oktoba 2016 kwenye magazeti sita ulibaini kati ya vyanzo vya habari 2577 vilivyotumika kwenye habari za Uchaguzi Mkuu, wanaume waliotumika kama vyanzo walikuwa 2256 ikiwa ni sawa na asilimia 88 huku wanawake 303 kama vyanzo hii ikiwa ni asilimia 11 tu.
Mkurugenzi huyo Mtendaji wa TAMWA alisema utafiti pia uliainisha kuwa wanaume waliongoza katika makundi yote ya mada za habari hata zile ambazo hazikuwa zikihusiana na uchaguzi huo. Aliongeza kuwa katika utafiti huo ilikuwa ni nadra sana kupata habari ambazo zipo katika kurasa za mbele huku vyanzo vyake vikiwa vimetokana na wanawake. Habari za wanawake zilianza kujitokeza kuanzia kurasa za nne na kuendelea.
“…Kwa mujibu wa matokeo ya ufuatiliaji wa habari za magazeti, wanawake kwa ujumla waliogombea na wasiogombea kote nchini walikabiliwa na unyanyasaji kama vile kufanyiwa ghasia, na vitisho wakati wa kampeni na siku ya uchaguzi. Pia wanaume walificha kadi za kupigia kura za wanawake zao, wanaume waliwalazimisha wake zao kuwapigia kura wagombea ambao wanawataka hata kama mwanamke hamtaki, utumiaji wa lugha ya matusi dhidi ya wagombea wanawake na wakati wa kampeni kuna baadhi ya wagombea wanawake walikamatwa na kutishiwa kwa tuhuma za kutotii amri ya Jeshi la Polisi,” alisema Sanga katika taarifa yake akifungua semina hiyo.
Baadhi ya wagombea walioshiriki katika uchaguzi Mkuu 2015 wakizungumza kuelezea changamoto anuai katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) na kushirikisha wadau wa habari pamoja na wagombea hao.

Wanahabari waliminya sauti za wanawake Uchaguzi Mkuu – Utafiti
Baadhi ya wagombea walioshiriki katika uchaguzi Mkuu 2015 wakizungumza kuelezea changamoto anuai katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) na kushirikisha wadau wa habari pamoja na wagombea hao.
Baadhi ya wagombea walioshiriki katika uchaguzi Mkuu 2015 wakizungumza kuelezea changamoto anuai katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) na kushirikisha wadau wa habari pamoja na wagombea hao.
Baadhi ya washiriki katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) na kushirikisha wadau wa habari pamoja na baadhi ya wagombea walioshiriki katika Uchaguzi Mkuu 2015 kuzungumzia changamoto za kutopewa nafasi wagombea wanawake, vijana na walemavu kwenye vyombo vya habari.

Kwa upande wao wanawake waliogombea wakizungumza katika semina hiyo walisema vyombo vya habari kiujumla havikutoa nafasi sawa kwa wagombea hasa wanawake na vingi vilikimbilia kutoa habari za wagombea wenye majina na maarufu kwa wanajamii. Bi. Stella Jairos ambaye aligombea Ubunge Vitimaalum Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dodoma alisema wanawake walemavu mbali na kukosa fursa kwenye vyombo vya habari walikabiliwa na changamoto mbalimbali zilizofifisha mafanikio katika kinyang’anyiro cha uchaguzi huo.
Naye Loyce Kibona aliyegombea upande wa vyama vya upinzani katika uchaguzi huo alisema licha ya vyombo vya habari kuwa ni changamoto kwao kupata nafasi ya kusikika bado hali ya kujiamini kwa wanawake na kukatishana tamaa kunaendelewa kukwamisha mafanikio ya kundi hilo hivyo kuwataka wanawake kuungana mkono.
Previous
Next Post »
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Label

KITAIFA NEWS KIMATAIFA MICHEZO BURUDANI SIASA TECHNICAL ARTICLES f HAPA KAZI TU. LEKULE TV EDITORIALS ARTICLES DC DIGITAL ROBOTICS SEMICONDUCTORS MAKALA GENERATOR GALLERY AC EXPERIMENTS MANUFACTURING-ENGINEERING MAGAZETI REFERENCE IOT FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY ELECTRONICS ELECTRICAL ENGINEER MEASUREMENT VIDEO ZANZIBAR YETU TRANSDUCER & SENSOR MITINDO ARDUINO RENEWABLE ENERGY AUTOMOBILE SYNCHRONOUS GENERATOR ELECTRICAL DISTRIBUTION CABLES DIGITAL ELECTRONICS AUTOMOTIVE PROTECTION SOLAR TEARDOWN DIODE AND CIRCUITS BASIC ELECTRICAL ELECTRONICS MOTOR SWITCHES CIRCUIT BREAKERS MICROCONTROLLER CIRCUITS THEORY PANEL BUILDING ELECTRONICS DEVICES MIRACLES SWITCHGEAR ANALOG MOBILE DEVICES CAMERA TECHNOLOGY GENERATION WEARABLES BATTERIES COMMUNICATION FREE CIRCUITS INDUSTRIAL AUTOMATION SPECIAL MACHINES ELECTRICAL SAFETY ENERGY EFFIDIENCY-BUILDING DRONE NUCLEAR ENERGY CONTROL SYSTEM FILTER`S SMATRPHONE BIOGAS POWER TANZIA BELT CONVEYOR MATERIAL HANDLING RELAY ELECTRICAL INSTRUMENTS PLC`S TRANSFORMER AC CIRCUITS CIRCUIT SCHEMATIC SYMBOLS DDISCRETE SEMICONDUCTOR CIRCUITS WIND POWER C.B DEVICES DC CIRCUITS DIODES AND RECTIFIERS FUSE SPECIAL TRANSFORMER THERMAL POWER PLANT cartoon CELL CHEMISTRY EARTHING SYSTEM ELECTRIC LAMP ENERGY SOURCE FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 2 BIPOLAR JUNCTION TRANSISTOR 555 TIMER CIRCUITS AUTOCAD C PROGRAMMING HYDRO POWER LOGIC GATES OPERATIONAL AMPLIFIER`S SOLID-STATE DEVICE THEORRY DEFECE & MILITARY FLUORESCENT LAMP HOME AUTOMATION INDUSTRIAL ROBOTICS ANDROID COMPUTER ELECTRICAL DRIVES GROUNDING SYSTEM BLUETOOTH CALCULUS REFERENCE DC METERING CIRCUITS DC NETWORK ANALYSIS ELECTRICAL SAFETY TIPS ELECTRICIAN SCHOOL ELECTRON TUBES FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 1 INDUCTION MACHINES INSULATIONS ALGEBRA REFERENCE HMI[Human Interface Machines] INDUCTION MOTOR KARNAUGH MAPPING USEUL EQUIATIONS AND CONVERSION FACTOR ANALOG INTEGRATED CIRCUITS BASIC CONCEPTS AND TEST EQUIPMENTS DIGITAL COMMUNICATION DIGITAL-ANALOG CONVERSION ELECTRICAL SOFTWARE GAS TURBINE ILLUMINATION OHM`S LAW POWER ELECTRONICS THYRISTOR USB AUDIO BOOLEAN ALGEBRA DIGITAL INTEGRATED CIRCUITS FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 3 PHYSICS OF CONDUCTORS AND INSULATORS SPECIAL MOTOR STEAM POWER PLANTS TESTING TRANSMISION LINE C-BISCUIT CAPACITORS COMBINATION LOGIC FUNCTION COMPLEX NUMBERS ELECTRICAL LAWS HMI[HUMANI INTERFACE MACHINES INVERTER LADDER DIAGRAM MULTIVIBRATORS RC AND L/R TIME CONSTANTS SCADA SERIES AND PARALLEL CIRCUITS USING THE SPICE CIRCUIT SIMULATION PROGRAM AMPLIFIERS AND ACTIVE DEVICES BASIC CONCEPTS OF ELECTRICITY CONDUCTOR AND INSULATORS TABLES CONDUITS FITTING AND SUPPORTS CONTROL MOTION ELECTRICAL INSTRUMENTATION SIGNALS ELECTRICAL TOOLS INDUCTORS LiDAR MAGNETISM AND ELECTROMAGNETISM PLYPHASE AC CIRCUITS RECLOSER SAFE LIVING WITH GAS AND LPG SAFETY CLOTHING STEPPER MOTOR SYNCHRONOUS MOTOR AC METRING CIRCUITS APPS & SOFTWARE BASIC AC THEORY BECOME AN ELECTRICIAN BINARY ARITHMETIC BUSHING DIGITAL STORAGE MEMROY ELECTRICIAN JOBS HEAT ENGINES HOME THEATER INPECTIONS LIGHT SABER MOSFET NUMERATION SYSTEM POWER FACTORS REACTANCE AND IMPEDANCE INDUCTIVE RESONANCE SCIENTIFIC NOTATION AND METRIC PREFIXES SULFURIC ACID TROUBLESHOOTING TROUBLESHOOTING-THEORY & PRACTICE 12C BUS APPLE BATTERIES AND POWER SYSTEMS ELECTROMECHANICAL RELAYS ENERGY EFFICIENCY-LIGHT INDUSTRIAL SAFETY EQUIPMENTS MEGGER MXED-FREQUENCY AC SIGNALS PRINCIPLE OF DIGITAL COMPUTING QUESTIONS REACTANCE AND IMPEDANCE-CAPATIVE RECTIFIER AND CONVERTERS SEQUENTIAL CIRCUITS SERRIES-PARALLEL COMBINATION CIRCUITS SHIFT REGISTERS BUILDING SERVICES COMPRESSOR CRANES DC MOTOR DRIVES DIVIDER CIRCUIT AND KIRCHHOFF`S LAW ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS 1 ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS B ELECTRICAL TOOL KIT ELECTRICIAN JOB DESCRIPTION LAPTOP THERMOCOUPLE TRIGONOMENTRY REFERENCE UART WIRELESS BIOMASS CONTACTOR ELECTRIC ILLUMINATION ELECTRICAL SAFETY TRAINING FILTER DESIGN HARDWARE INDUSTRIAL DRIVES JUNCTION FIELD-EFFECT TRANSISTORS NASA NUCLEAR POWER SCIENCE VALVE WWE oscilloscope 3D TECHNOLOGIES COLOR CODES ELECTRIC TRACTION FEATURED FLEXIBLE ELECTRONICS FLUKE GEARMOTORS INTRODUCTION LASSER MATERIAL PID PUMP SEAL ELECTRICIAN CAREER ELECTRICITY SUPPLY AND DISTRIBUTION MUSIC NEUTRAL PERIODIC TABLES OF THE ELEMENTS POLYPHASE AC CIRCUITS PROJECTS REATORS SATELLITE STAR DELTA VIBRATION WATERPROOF