Hali ya Mufti Mkuu Abubakar Zuberi Yaimarika Baada Ya Kufanyiwa Upasuaji Wa Tumbo - LEKULE BLOG

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 9 February 2016

Hali ya Mufti Mkuu Abubakar Zuberi Yaimarika Baada Ya Kufanyiwa Upasuaji Wa TumboHali ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuberi ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa matibabu inaendelea vizuri.

Ofisa Uhusiano wa MNH, Neema Mwangomo jana alisema mufti amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete   na alifikishwa  Hospitalini  hapo  juzi. 

Jana, viongozi  mbalimbali  wa  serikali  akiwemo  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walimtembelea  kumjulia hali  Mufti Zeburi

Pia,baadhi ya waumini wa Kiislamu jana mchana walionekana nje ya jengo hilo wakitaka kufahamu maendeleo ya afya ya kiongozi wao huyo. 

Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.