Video yenye magoli yote ya fainali ya Mapinduzi Cup URA vs Mtibwa FullTime 3-1 - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 14 January 2016

Video yenye magoli yote ya fainali ya Mapinduzi Cup URA vs Mtibwa FullTime 3-1Usiku wa January 13 Zanzibar ilipigwa fainali ya 10 ya Kombe la Mapinduzi kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda vs Mtibwa Sugar ya Tanzania, Mtibwa Sugar wakapigwa 3-1 na kwenye hii video hapa chini utajionea magoli yote..Post a Comment