MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA MISRI NA WAZIRI MAHIGA

SU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Agostino Maige wakati alipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam jana Januari 21, 2016.
SU1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Misri Nchini Mhe. Mohamed Yasser Elshawaf wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam jana Januari 21, 2016 ambapo kwenye mazungumzo yao walizungumzia umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kwenye sekta ya Kiuchumi, Usafirishaji, Kilimo, na Elimu baina ya Nchi mbili hizi.
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.