Hello

Welcome lekule blog

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation.
together in the world. #lekule86
Join us on

KADCO YAOKOA ZAIDI YA BILIONI 2 UWANJA WA NDEGE WA KIA NDANI YA WIKI MOJA

Kaimu Mkurugenzi wa KADCO ,Bakari Murusuri |(Katikati) kushoto kwake ni mkurugenzi wa shughuli mama za kiwanja na huduma KADCO,Christopher Mukoma na kulia kwake ni Meneja usalama wa Kiwanja, Justine Kisusi walipokutana na wanahabari . 
Kaimu mkurug4e3nzi wa KADCO ,Bakari Murusuri akizung4umza na wanahabari (hawako pichani ) kuhusu matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika uwanja huo. 
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
Eneo la ndani la uwanja wa ndege wa KIA.
…………………………………………………………..

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini., 

KAMPUNI ya maendeleo ya viwanja vya ndege (KADCO) inayosimamia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) imekoa zaidi ya kiasi cha sh Bil 2 katika kipindi cha wiki moja ikiwa ni thamani ya nyara za serikali na vito vya thamani vilivyokuwa vitoroshwe kupitia uwanja huo. 

Menejimenti ya uwanja huo kupitia kitengo cha usalama kiwanjani hapo ilifanikiwa kukamata kunasa vipande 264 vya madini ya Tanzanite vikiwa na uzito wa kilograamu 2.04 ambavyo thamani yake inakadiriwa kufikia Bilioni 2.5. 

Vingine vilivyokamatwa uwanjani hapo vikiwa njiani kusafirishwa kuelekeaa nchini Vietnam ni pamoja na kucha 261 ,meno 60 ya Simba ambayo yanadaiwa kutokana na kuuawa kwa Simba 13 . 
Kaimu mkurugenzi wa KADCO,Bakari Murusuri aliiambia Globu ya jamii kuwa Desemba 18 ,maofisa usalama uwanjani hapo walimkamata abiria mwenye asili ya Uarabuni akiwa na pembe mbili za Twiga. 

“Siku ya Ijumaa tulimkamata abiria mwingine mwenye asili ya kiarabu,akitaka kutorosha pembe mbili za Twiga na baada ya tukio hilo Jumamosi katika ndege ya Ethiopian airlines walikamatwa abiria wengine raia wa kigeni wakitaka kutorosha Pembe mbili za Impala nao walishikiliwa na kukabidhiwa kituo cha polisi cha KIA.”alisema Murusuri. 

Aliyekamatwa akiwa na Pembe za Tiwiga ametajwa na idara ya uhamiaji kuwa ni Jasim Mbarakke Alh-kubaisi (43) ambaye anaidaiwa kuwa ni mlinzi wa mfalme wa nchi ya Qatar iliyopo katika falme za kiarabu. “Ukiangalia haya matukio ndani ya wiki moja ,tumeweza kuokoa kiasicha fedha zisizopungua Bilioni mbili za kitanzania,kama viongozi wengine katika viwanja vingine ,mipakani a taasisi nyingine ila mmoja atashuhudia serikkali yetu inavyoweza kujiondesha kwa kodi za ndani”aliongeza Murusuri. 

Alisema katika uwanja huo kumekuwa na matukio mengi ambayo hayakuripotiwa kwenye vyombo vya habari yakiwemo ya kukamatwa kwa watu 11 wakisafirisha dawa za kulevya katika kipndi cha miaka miwli iliyopita. “Matukio yamekuwa yakitokea mengi ,ndani ya miaka miwili iliyopita katika uwanja huu tumekamata watu wasio pungua 11 wakijaribu kupitisha dawa za kulevya na tayari wamefikishwa mbele ya vyombo vya sheria ikiwemo wengine kufungwa jela.”alisema Mrusuri. 
Murusuri alisema kwa sasa katika uwanja huo kumefungwa vifaa vya kisasa ambavyo vinahakikisha kwa hakuna mtu anaye pita uwanjani hapo na vitu ambavyo havijaruhusiwa kisheria ikiwa ni jitihada za kumuunga mkono rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ,John Magufuli. 

Mapema wiki iliyopita jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro lilitoa taarifa ya kushkiliwa kwa watu wanne wakiwamo raia wanne kutoka mataifa tofauti kwa makosa mbalimbali, akiwemo aliyekutwa na nyara za serikali kinyume cha sheria.Kamanda wa polisi mkoani hapa, Fulgence Ngonyani alisema tukio la kwanza lilitokea Dec 15 majira ya saa 10.00 alasiri katika uwanja wa

ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo alikamatwa raia wa Vietnam,Hoang Nghia Trung(49) akitaka kusafirisha nyara hizo.Alisema mtuhumiwa huyo alihifadhi nyara hizo katika mabegi yake ambapo maofisa wa usalama katika uwanja wa ndege wa KIA walimtilia shaka na kufanya upekuzi katika mabegi yake ndipo walipokuta nyara hizo zikiwa zimehifadhiwa ndani ya mabegi hayo. 

Hata hivyo thamani halisi ya nyara hizo bado haijajulikana na mtuhumiwa anaendelea kuhojiwa na atafikisha mahakamani mara upeleleziutakapokamilika. 


Katika tukio jingine ,Anurag Jain(45) raia wa India alikamatwa uwanja wa ndege wa Kia akiwa na madini ghafi aina ya Tanzanite vipande 264 bila kibali akiwa amehifadhi kwenye mabegi yake akielelekea Hong Kong China. 

Share this:

ABOUTME

Hi all. This is deepak from Bthemez. We're providing content for Bold site and we’ve been in internet, social media and affiliate for too long time and its my profession. We are web designer & developer living India! What can I say, we are the best..

Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.

Labels

EDITORIALS ARTICLES LEKULE TV DC ROBOTICS DIGITAL SEMICONDUCTORS GENERATOR AC EXPERIMENTS MANUFACTURING-ENGINEERING REFERENCE FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY ELECTRONICS ELECTRICAL ENGINEER MEASUREMENT TRANSDUCER & SENSOR VIDEO ARDUINO RENEWABLE ENERGY AUTOMOBILE TEARDOWN SYNCHRONOUS GENERATOR DIGITAL ELECTRONICS ELECTRICAL DISTRIBUTION CABLES AUTOMOTIVE MICROCONTROLLER SOLAR PROTECTION DIODE AND CIRCUITS BASIC ELECTRICAL ELECTRONICS MOTOR SWITCHES CIRCUIT BREAKERS CIRCUITS THEORY PANEL BUILDING ELECTRONICS DEVICES MIRACLES SWITCHGEAR ANALOG MOBILE DEVICES CAMERA TECHNOLOGY WEARABLES COMMUNICATION GENERATION BATTERIES FREE CIRCUITS INDUSTRIAL AUTOMATION SPECIAL MACHINES ELECTRICAL SAFETY ENERGY EFFIDIENCY-BUILDING DRONE CONTROL SYSTEM NUCLEAR ENERGY SMATRPHONE FILTER`S POWER BIOGAS BELT CONVEYOR MATERIAL HANDLING RELAY ELECTRICAL INSTRUMENTS ENERGY SOURCE PLC`S TRANSFORMER AC CIRCUITS CIRCUIT SCHEMATIC SYMBOLS DDISCRETE SEMICONDUCTOR CIRCUITS WIND POWER C.B DEVICES DC CIRCUITS DIODES AND RECTIFIERS FUSE SPECIAL TRANSFORMER THERMAL POWER PLANT CELL CHEMISTRY EARTHING SYSTEM ELECTRIC LAMP FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 2 BIPOLAR JUNCTION TRANSISTOR 555 TIMER CIRCUITS AUTOCAD BLUETOOTH C PROGRAMMING HOME AUTOMATION HYDRO POWER LOGIC GATES OPERATIONAL AMPLIFIER`S SOLID-STATE DEVICE THEORRY COMPUTER DEFECE & MILITARY FLUORESCENT LAMP INDUSTRIAL ROBOTICS ANDROID ELECTRICAL DRIVES GROUNDING SYSTEM CALCULUS REFERENCE DC METERING CIRCUITS DC NETWORK ANALYSIS ELECTRICAL SAFETY TIPS ELECTRICIAN SCHOOL ELECTRON TUBES FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 1 INDUCTION MACHINES INSULATIONS USB ALGEBRA REFERENCE HMI[Human Interface Machines] INDUCTION MOTOR KARNAUGH MAPPING USEUL EQUIATIONS AND CONVERSION FACTOR ANALOG INTEGRATED CIRCUITS BASIC CONCEPTS AND TEST EQUIPMENTS DIGITAL COMMUNICATION DIGITAL-ANALOG CONVERSION ELECTRICAL SOFTWARE GAS TURBINE ILLUMINATION OHM`S LAW POWER ELECTRONICS THYRISTOR BOOLEAN ALGEBRA DIGITAL INTEGRATED CIRCUITS FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 3 PHYSICS OF CONDUCTORS AND INSULATORS SPECIAL MOTOR STEAM POWER PLANTS TESTING TRANSMISION LINE APPS & SOFTWARE C-BISCUIT CAPACITORS COMBINATION LOGIC FUNCTION COMPLEX NUMBERS CONTROL MOTION ELECTRICAL LAWS INVERTER LADDER DIAGRAM MULTIVIBRATORS RC AND L/R TIME CONSTANTS SCADA SERIES AND PARALLEL CIRCUITS USING THE SPICE CIRCUIT SIMULATION PROGRAM AMPLIFIERS AND ACTIVE DEVICES BASIC CONCEPTS OF ELECTRICITY CONDUCTOR AND INSULATORS TABLES CONDUITS FITTING AND SUPPORTS ELECTRICAL INSTRUMENTATION SIGNALS ELECTRICAL TOOLS INDUCTORS LiDAR MAGNETISM AND ELECTROMAGNETISM PLYPHASE AC CIRCUITS RECLOSER SAFE LIVING WITH GAS AND LPG SAFETY CLOTHING STEPPER MOTOR SYNCHRONOUS MOTOR AC METRING CIRCUITS BECOME AN ELECTRICIAN BINARY ARITHMETIC BUSHING DIGITAL STORAGE MEMROY ELECTRICIAN JOBS HEAT ENGINES HOME THEATER INPECTIONS LIGHT SABER MOSFET NUMERATION SYSTEM POWER FACTORS REACTANCE AND IMPEDANCE INDUCTIVE RECTIFIER AND CONVERTERS RESONANCE SCIENTIFIC NOTATION AND METRIC PREFIXES SULFURIC ACID TROUBLESHOOTING TROUBLESHOOTING-THEORY & PRACTICE 12C BUS APPLE BATTERIES AND POWER SYSTEMS DC MOTOR DRIVES ELECTROMECHANICAL RELAYS ENERGY EFFICIENCY-LIGHT INDUSTRIAL SAFETY EQUIPMENTS MEGGER MXED-FREQUENCY AC SIGNALS PRINCIPLE OF DIGITAL COMPUTING QUESTIONS REACTANCE AND IMPEDANCE-CAPATIVE SEQUENTIAL CIRCUITS SERRIES-PARALLEL COMBINATION CIRCUITS SHIFT REGISTERS WIRELESS BUILDING SERVICES COMPRESSOR CRANES DIVIDER CIRCUIT AND KIRCHHOFF`S LAW ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS 1 ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS B ELECTRICAL TOOL KIT ELECTRICIAN JOB DESCRIPTION INDUSTRIAL DRIVES LAPTOP SCIENCE THERMOCOUPLE TRIGONOMENTRY REFERENCE UART oscilloscope BIOMASS CONTACTOR ELECTRIC ILLUMINATION ELECTRICAL SAFETY TRAINING ELECTROMECHANICAL FEATURED FILTER DESIGN HARDWARE JUNCTION FIELD-EFFECT TRANSISTORS NASA NUCLEAR POWER VALVE COLOR CODES ELECTRIC TRACTION FLEXIBLE ELECTRONICS FLUKE GEARMOTORS INTRODUCTION LASSER PID PUMP SEAL ELECTRICIAN CAREER ELECTRICITY SUPPLY AND DISTRIBUTION MUSIC NEUTRAL PERIODIC TABLES OF THE ELEMENTS POLYPHASE AC CIRCUITS PROJECTS REATORS SATELLITE STAR DELTA VIBRATION WATERPROOF