Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (watatu kulia) akiongoza
wanawake kufanya mazoezi wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea
kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(Picha na: Beatrice
Lyimo na Genofeva Matemu)
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bibi.
Sihaba Nkinga (katikati) akifanya mazoezi ya kukimbia wakati wa tamasha
la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Baraza la Michezo
ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bibi. Zainabu Mbussi.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiongea na wanawake (hawapo
pichani) walioudhuria tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya
wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akirusha mpira kuashiria
ufunguzi wa mchezo wa mpira wa pete wakati wa tamasha la maadhimisho
kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini
Dar es Salaam. Anayezuia mpira ni Mjumbe wa Baraza la Michezo ambaye
pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bibi. Zainabu Mbussi.(P.T)
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wapili kushoto) akipata
maelekezo kuhusu michezo mbalimbali iliyoandaliwa kutoka kwa Kaimu
Katibu Mtendaji Baraza la Michezo la Taifa Bw. Mohamed Kiganja (wapili
kulia) wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya
wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo
kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifanya mazoezi
ya viungo kabla ya kushiriki michezo mbalimbali wakati wa tamasha la
maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo
kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), wakijiandaa
kushiriki mchezo wa kuvuta kamba ambapo walishindana na Wanamichezo
kutoka Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo tamasha la maadhimisho
kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo
jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo
kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwavuta
wapinzani wao kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)
mbalimbali wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya
wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akikagua timu ya mpira wa
miguu kutoka Shule ya Sekondari Makongo ambao walishiriki tamasha la
maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akipokea fomu ya kujiunga kwa
hiari katika Mfuko wa Hiara wa PSPF kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF
Bw. Adam Mayingu wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha
siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi (katikati mstari wa mbele) Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha
ya pamoja washiriki na wadau waliondaa tamasha la maadhimisho kuelekea
kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es
Salaam.
Baadhi wa
wanafunzi wakifuatilia michezo mbalimbali iliyokua ikiendelea wakati wa
tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika
viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Matukio
ya michezo mbalimbali wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele
cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment