Picha 13 za Mahakamani kwenye Kesi ya Wenje na Mabula, kupinga matokeo ya Ubunge Nyamagana Mwanza… - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Monday, 14 March 2016

Picha 13 za Mahakamani kwenye Kesi ya Wenje na Mabula, kupinga matokeo ya Ubunge Nyamagana Mwanza…


Ripoti kutokea 88.1 Mwanza muda huu ni hii ya Mbunge wa zamani Ezekia Wenje jimbo la Nyamagana na Mbunge wa sasa Stanslaus Mabula kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015, naambiwa kesi imesimamishwa kuanzia saa 6 mpaka 8, Mahakama itaendele kusikiliza mashahidi kwa upande wa Wenje, ripota wamillardayo.com kazipata picha za mwanzo.
Image00006
Mawakili kazini kesi ya Wenje na Mabula
Image00004
Ezekia Wenje ndani ya Mahakama
Image00012
Naambiwa Jeshi la Polisi halikuwa mbali kwenye usalama
Image00003
Mbunge wa Nyamagana Staslaus Mabula akisubiri kesi ianze
Image00010
Image00014
Image00005
Mfuasi wa Chadema akisaidiwa baada ya kusukumana
Image00001
Mh Mbowe na Wenje kwenye mapumziko ya masaa mawili
Image00008
Mwenyekiti Mbowe na Wakili Mtalemwa wakili wa Mabula
Image00009
Mbowe alikuwepo Mahakamani
Image00011
Wafuasi wa Chadema hawakuwa mbali na Mahakama
Image00007
Wenje akisubiri kutoa ushahidi
Image00013
Post a Comment