Mabibi na mabwana Chege Chigunda kawasogezea video ya mdundo wake wa ‘Sweety Sweety Dance’ - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 13 March 2016

Mabibi na mabwana Chege Chigunda kawasogezea video ya mdundo wake wa ‘Sweety Sweety Dance’


Mkali kutokea kundi la Wanaume Family, Chege Chigunda kaisogea hii nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Sweety Sweety Dance‘ ndani yake akiwa amewashirikisha mastaa kama Runtown na Uhuru huku Kichupa kimetengenezwa na directer kutokea Tanzania, anakwenda kwa jina la PabloPost a Comment