RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA VIJANA WA HALAIKI - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 7 February 2016

RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA VIJANA WA HALAIKI

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na viongozi mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana katika chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na viongozi mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana katika chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na viongozi wakiimba wimbo maalum alipokaribishwa na vijana wa halaiki chakula maalum kwa Vijana hao walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar alipowaandalia katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana.
10
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Boara DKt.Mwinyihaji Makame Mwadini akitoa neno la shukurani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa viongozi na vijana wa halaiki walioshiriki katika sherehe za Mapinduzi ya mwaka 2016 kutimiza miaka 52 katika viwanja wa Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana.(P.T)
4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakitia chakula wakati wa hafla maalum ya chakula aliyowaandalia Vijana walioshiriki katika Halaiki ya sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
5
Baadhi ya Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakichukua Chakula katika hafla ya iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana,
6
Baadhi ya Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakichukua Chakula katika hafla ya iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana.
7
Baadhi ya Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana.
8
Hawa ni miongoni mwa Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula kilichondaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana
9
Baadhi ya Viongozi walioshiriki katika hafla ya chakula cha mchana alichokiaandaa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Vijana wa halaiki walioshiriki katika sherehe za Mapinduzi ya mwaka 2016 kutimiza miaka 52 katika viwanja wa Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana,
Picha na Ikulu.
Post a Comment