Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi Patrick Mussa Kamendu akimpa taarifa
ya hali ya mauzo na masoko na utekelezaji wa miradi ya shirika la
nyumba la taifa katika mkoa wake kwa Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius
Tibazarwa alipokuwa katika ziara ya NHC mkoa wa Lindi kufuatilia
utekelezaji wa miradi hiyo mikoani.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi Patrick Mussa Kamendu akiongozana na
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye mradi wa
nyumba za gharama nafuu Mtanda Lindi, katika ziara ya NHC mkoa wa Lindi
kufuatilia utekelezaji wa miradi hiyo mikoani.
Mkurugenzi
wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa akishuhudia jambo katika mojawapo ya
nyumba za gharama nafuu za Mtanda, Lindi kwenye mradi wa nyumba za
gharama nafuu Mtanda Lindi.
Nyumba za gharama nafuu za NHC Mtanda, Lindi linavyoonekana katika picha.
Nyumba za gharama nafuu za Mtanda, Lindi linavyoonekana katika picha.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi Patrick Mussa Kamendu akimweleza
jambo Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye
ziara ya mradi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda Lindi.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Mtwara, Joseph John akimpa taarifa ya
utekelezaji wa miradi ya shirika la nyumba la taifa katika mkoa wake kwa
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa katika ziara ya
NHC mkoa wa Mtwara kufuatilia utekelezaji wa miradi hiyo mikoani.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Mtwara, Joseph John akijadiliana jambo na
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye mradi wa
nyumba za makazi Shangani Mtwara, katika ziara ya NHC mkoa wa Mtwara
kufuatilia utekelezaji wa miradi hiyo mikoani.
Nyumba za makazi za Rahaleo Mtwara zinavyoonekana katika picha hivi sasa.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Mtwara, Joseph John akimweleza jambo
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye ziara ya
mradi wa nyumba za gharama nafuu Napupa, Masasi.
Nyumba za gharama nafuu NHC Napupa, Masasi, Mtwara zinavyoonekana kwa sasa.
Nyumba za gharama nafuu NHC Mkuzo Songea zinavyoonekana kwa sasa.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Ruvuma, Saidi Bungara akiongozana na
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye ziara ya
mradi wa nyumba za gharama nafuu Mkuzo, Songea.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Ruvuma, Saidi Bungara akimwelekeza jambo
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye ziara ya
mradi wa nyumba za gharama nafuu Mkuzo, Songea.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Ruvuma, Saidi Bungara akiongozana na
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye ziara ya
mradi wa nyumba za gharama nafuu Mkuzo, Songea.
No comments:
Post a Comment