Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya
Ngege Zanzibar Kepten Saidi Iddi Ndumbugani, kuhusu aina ya Taa mbali
mbali zilizofungwa kwa uongozaji wa Ndege wakati wa ikitua katika
sherehe ya uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege
cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Katika
barabara ya ndege katika uwanja wa ndege wa Karume Pemba zikiwa
zinaonekana Taa hizo zikiwa tayari kufanya kazi inayohitajiwa kwa
wakati,taahizo zilizinduliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe ya uzinduzi wa
Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba ikiwa ni
katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja
vya Ngege Zanzibar Kepten Saidi Iddi Ndumbugani, wakati alipofika
kutembelea kuona aina ya Taa mbali mbali zilizofungwa kwa uongozaji wa
Ndege wakati wa ikitua katika sherehe ya uzinduzi wa Taa za kuongozea
Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni
katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Aina
ya Taa zilizokuwa mwishoni mwa kiwanja cha ndege cha Karume Pemba zikiwa
na Rangi ya Nyekundu na Buluu ambazo hutoa ishara kwa Kepteni
anayeongoza Ndege ikitua,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi mbali mbali
aliofuatana nao walijionea taa hizo namna zilivyofungwa katika
utaratibu maalum wakati uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye
kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni katika maadhimisho
ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Aina
ya Taa zilizokuwa nje kabisa ya kiwanja cha ndege cha Karume Pemba
ambazo hutoa ishara kwa Kepteni anayeongoza Ndege ikitua,Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pamoja na Viongozi mbali mbali aliofuatana nao walijionea taa hizo
namna zilivyofungwa katika utaratibu maalum wakati uzinduzi wa Taa za
kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana
ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifungua pazia kama iskara ya Uzinduzi wa Taa za Kuongozea
Ndege katika kiwanja cha Ndege cha Karume Pemba jana ikiwa ni katika
sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na
Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya
Ngege Zanzibar Kepten Saidi Iddi Ndumbugani, kuhusu majenereta
yanayotoa umeme baada ya kuzindua rasmi Taa za kuongozea Ndege kwenye
kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wafanyakazi
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi wakati alipkuwa akitoa hutuba yake
ya uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha
Pemba jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili
alipokuwa akitoa maelezo ya kitaalam kuhusu mradi wa uwekaji wa Taa za
kuongozea Ndege katika sherehe za uzinduzi wa Taa za Kuongozea Ndege
katika kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika shamra shamra za
miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU)
akitoa slamau za Wizara pamoja na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na
wananchi katika sherehe za uzinduzi wa Taa za Kuongozea Ndege katika
kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika shamra shamra za miaka
52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na wananchi katika sherehe za uzinduzi wa Taa za
Kuongozea Ndege katika kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika
shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid na (kushoto) Naibu Waziri wa
Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU). Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment