16 Jan 2016
UKAWA washinda kiti ca Umeya Kinondoni, Dar es Salaam
Vyama vinavyounda UKAWA vimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa Umeya wa Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya CCM waliopata kura 20.
Meya mpya ni
Boniface Jacob
. Manispaa ya Ilala zoezi bado linaendelea
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment