28 Jan 2016
Rais Dkt Magufuli Afanya Uteuzi Wa Naibu Gavana Wa Benki Kuu Ya Tanzania
Rais John Pombe Magufuli leo amemteua Julian Banzi Raphael kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akichukua nafasi ya Juma Reli ambaye muda wake umeisha.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment