Rais Dkt Magufuli Afanya Uteuzi Wa Naibu Gavana Wa Benki Kuu Ya Tanzania - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 28 January 2016

Rais Dkt Magufuli Afanya Uteuzi Wa Naibu Gavana Wa Benki Kuu Ya Tanzania


Rais John Pombe Magufuli leo amemteua Julian Banzi Raphael kuwa  Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akichukua nafasi ya Juma Reli ambaye muda wake umeisha.
 
Post a Comment