Mungu ametuleta duniani ili tuweze kushirikiana, kusaidiana na kutegemeana.
Jambo hili lisingewezekana kama watu wote tungekuwa na karama zinazo fanana ama kulingana.
Ili kufanikisha lengo lake hilo TUKUFU, Mwenyezi Mungu ametoa karama tofauti tofauti kwa watu tofauti tofauti.
Katika karama zote zitolewazo na Mwenyezi Mungu kwa wanadamu, KARAMA iliyo KUU kuliko karama zote ni KARAMA YA KUTATUA MATATIZO YA WANADAMU.. Hasa hasa yale yaliyo nje ya uwezo wa kibinadamu.
Karama hii ni karama kuu kuliko zote kwa sababu ni karama inayo muhusisha Mwenyezi Mungu moja kwa moja.
Kazi ya kutatua matatizo ya wanadamu ni kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na Mungu mwenyewe moja kwa moja.
Lakini kwa kuwa Mungu anataka wanadamu tushirikiane na kutegemeana, ametunuku karama hii kwa wanadamu wachache ili wapate kufanya kazi hiyo ya Mungu. Kazi ya kutatua matatizo ya wanadamu yaliyo nje ya uwezo wao.
Kwa lugha nyingine ni sawa na kusema, Mungu mwenyewe anatatua matatizo ya wanadamu kwa kuwatumia wanadamu wengine…
Dr. Saleh kutoka visiwa vya Lamu, vilivyopo katika pwani ya nchi jirani ya Kenya, ni miongoni mwa wanadamu walio tunukiwa na kujaaliwa karama kuu ya utatuzi wa matatizo mbalimbali ya wanadamu.
Dr. Saleh ambaye pia hujulikana kama KUN FAYA KUN yaani KUWA NA IWE, ni chotara wa KIARABU na KIAJEMI ( Waajemi ni watu kutoka nchi ya Iran ) ambae amerithishwa UGANGA na babu yake kizaa baba yake…
Upande wa baba yake ni waarabu wakaazi wa Lamu na Malindi nchini Kenya, ambao wana asili ya Omani, wakati kwa upande wa mama yake ni wapemba kutoka jamii ya washiraz wenye asili ya Irani.
Dr. Saleh amesoma na kubobea kwenye ELIMU YA KORAN. Alianza kujifunza elimu ya Koran akiwa kisiwani Unguja wakati huo baba yake akiwa anafanya kazi ya kufundisha Koran kwenye madrasa.
Baadaye aliendelea na elimu ya juu ya Koran kisiwani Lamu Kenya, kisha Khartoum Sudani, Timbuktu Mali na hatimaye nchini Misri ambako alipata elimu ya juu kabisa katika Koran.
Dr. Saleh amerithi uganga kutoka kwa babu yake kizaa baba yake.
Dr. Saleh amebobea katika elimu ya majini na mashetani wa ardhini, angani na baharini.
Anatumia uganga kutoka Misri, India, Irani katika kutatua matatizo mbalimbali ya wanadamu.
Anatumia uganga wa KISUMERIA katika kutatua matatizo mbalimbali ya wanadamu.
Amebobea katika UGANGA na UGANGUZI kutoka katika makabila yote ya kiarabu kuanzia Wa Banu Abas hadi WaBanu Zayd.
MAMBO ANAYO YAFANYA SHEIKH SALEH.
i. Anatoa PETE ZA MAJINI na PETE ZA BAHATI kwa watu wenye matatizo na mahitaji mbalimbali.
ii.Anasaidia katika masuala ya uongozi
iii.Anafanya matambiko maalumu kwa wachimbaji wa madini.
iv. Anatoa dawa na pete za biashara
v. Anasaidia kumrudisha mke au mume aliye kimbia pamoja na masuala yote yanayo husu mapenzi na mahusiano.
vi.Anasaidia kutoa pete za utajiri kwa wanao taka utajiri.
vii.Kama unataka kuuza nyumba, gari, shamba, kiwanja au mali yako yoyote, atakusaidia kupata mteja wa uhakika kwa haraka sana.
viii.Kama una shida ya kuto kupata ujauzito, atakusaidia kushika mimba.
ix.Kama umerogwa au umetupiwa jinni , Sheikh Saleh atakusaidia
x. Kutoa nuksi,mikosi na uchawi tumboni.
xi. Anatoa kinga ya nyumba, gari na mashamba.
xii. Anatoa dawa ya kuwakinga watu na ajari
xiii. Anatoa kinga dhidi ya wachawi
xiv. Kurudisha mali iliyo potea
xv. Kumuita ndugu aliyepotea
xvi.Kama umedhulumiwa, Sheikh Saleh atakusaidia kurudisha mali yako.
xvii.Kama umesingiziwa kesi, Sheikh Saleh atakusaidia na kesi yako itafutwa mara moja.
xviii.Kama umebambikiwa kesi kazini, Sheikh Saleh, atakusaidia na kesi yako itafutwa mara moja.
xix. Anatoa pete za kukukinga dhidi ya adui zako.
xx. Anatoa hirizi ya simba
xxi. Anaendesha kituo maalumu cha dua, ambapo watu wenye shida, tabu na matatizo mbalimbali hufika kwa ajili ya kuombewa dua.
Pamoja na na matatizo mengine mengi yanayo muhusu mwanadamu
MAHALI ANAKO PATIKANA SHEIKH SALEH
Shughuli zake nyingi anazifanyia Nairobi na Mombasa nchini Kenya. Lakini kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutatua shida za watu amekuwa akisafiri mara kwa mara katika nchi tofauti tofauti.
Nchi anazo safiri kwa ajili ya kazi zake ni pamoja na Msumbiji, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Gabon, Oman, Tanzania Bara na Visiwani, United Arabs Emirates, Visiwa vya Comoro, Misri, Afrika Kusini, Algeria, Uingereza na Marekani kwa kutaja nchi chache.
Nchi anazo safiri kwa ajili ya kazi zake ni pamoja na Msumbiji, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Gabon, Oman, Tanzania Bara na Visiwani, United Arabs Emirates, Visiwa vya Comoro, Misri, Afrika Kusini, Algeria, Uingereza na Marekani kwa kutaja nchi chache.
Kwa sasa yupo jijini Dar Es Salaam, ambapo atakaa kwa muda wa wiki mbili kwa ajili ya kuwasaidia watu mbalimbali wenye shida na matatizo mbalimbali.Baada ya hapo, Sheikh Saleh ataelekea nchini Msumbiji, kwa mwaliko wa wachimba madini.
MAKALA HAYA YAMEANDIKWA NA NDUGU. MUNGWA KABILI. MUNGWA KABILI. NI MWANDISHI NA MTAFITI KUHUSU MASUALA YA ULIMWENGU USIO ONEKANA. ANAPATIKANA JIJINI DAR ES SALAAM, KWA NAMBA 0744 000 473
No comments:
Post a Comment