Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016
Christian Bella akipanda jukwaani kuwasalimia mashabiki. Mashabiki wakijiachia kwa kucheza muziki dakika chache kabla ya kuanza mwaka mpya 2016 Ni full kufurahia.Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu za mkononi, Airtel Tanzania na
wafanyakazi wa Dar Live wakiandaa maputo kwa ajili ya shamra shamra za
kuukaribisha mwaka mpya 2016.Maputo yakipeperushwa hewani kuashiria kuanza mwaka mpya 2016.
Bella akitoa kionjo wakati wa kuukaribisha mwaka mpya.Christian
Bella (mwenye kofia nyekundu) na Mama Tunu wakitikisa chupa za
shampeni. Wanaoshuhudia tukio hilo ni mashabiki pamoja na Meneja wa Dar
Live, Juma Mbizo (katikati mwenye shati la dratfi).Zoezi la kufungua shampeni likishika kasi.Shampeni ya mama Tunu hiyooooo ikafunguka.Bella naye akakazana.Dakika zikatimia.... mwaka 2016 huoooo ukafika.Bella akaanza kuwaonjesha shampeni mashabiki zake.Mashabiki wakichukua picha za ukumbusho wa tukio hilo kwenye simu zao.Bella akaanza kutoa vionjo vya nyimbo zake kali.Bella acha kabisaaaaa
Mashabiki wakifuatilia shoo hiyo. Christian Bella akipagawisha mashabiki waliofika Dar Live kwenye shoo ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2016.Malaika Band wakifanya yao.Mashabiki wakiserebuka...wakichukua matukio muhimu ya shoo hiyo kwa simu za mkononiNi hatariBella akiwaongoza Malaika Band kutumbuiza ukumbini hapo...shoo si ikanoga sasaBella akitamba jukwaaniMashabiki wakinogewa na shoo ya Malaika BandBella na jukwaa, Bella na mashabikiKama kawaida yao Malaika Band wakikinukisha jukwaaniMashabiki wakifuatilia shoo hiyoShabiki akipanda jukwaani kucheza na Bella
Dada huyu akikata mauno wakati wa shoo hiyo Shabiki na Bella jukwaani Bella akiendelea kuwasha motoShabiki akimzawadia Bella
Zawadi zikimiminikaShoo ikibamba
Shangwe za mwaka mpya Mashabiki wakipanda jukwaani Shoo ikinogaBella akicheza na mashabiki wake Shoo ikinoga Bella na mashabiki jukwaaniMashabiki wakizidi kupagwa.
No comments:
Post a Comment