Real Madrid yatajwa kuwa klabu tajiri zaidi duniani, Man Utd, FC Barcelona zafuatia!! - LEKULE

Breaking

19 Dec 2015

Real Madrid yatajwa kuwa klabu tajiri zaidi duniani, Man Utd, FC Barcelona zafuatia!!

barca
Timu zinazoongoza kwa utajiri duniani..



Klabu ya Real Madrid ya Hispania imetajwa kuwaklabu ya mpira wa miguu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chuo cha biashara cha Wingereza, London School of Marketing.
Katika utafiti huo umeonyesha kuwa Real Madrid inautajiri wa Pauni Bilioni 2.070 ikifatiwa na Manchester United ya Wingereza iliyotajwa kuwa na utajiri wa Pauni Bilioni 2.050 na klabu ya Barcelona ikishika nafasi ya tatu kwa kuwa na utajiri wa  Pauni Bilioni 2.007.


Hii ni listi kamili ya klabu zilizotajwa kuwa tajiri zaidi duniani;
Real Madrid                  pauni bil. 2.070
Manchester United       pauni bil. 2.050
Barcelona                      pauni bil. 2.007
Manchester City            pauni bil. 2
Bayern Munich           pauni bil. 1.492
Chelsea                        pauni mil.870
Arsenal                        pauni mil.832
Liverpool                     pauni mil.624
Juventus                      pauni mil.531
AC Milan                    pauni mil.492
Borussia Dortmund     pauni mil.445
Paris Saint German     pauni mil.403
Tottenham Hotspur     pauni mil.381
Schalke 04                   pauni mil. 363
Inter Milan                  pauni mil.279
Atletico Madrid          pauni mil.277
Napoli                         pauni mil. 224
Newcastle United       pauni mil.222
West Ham United       pauni mil.196
Galatasaray                 pauni mil. 187

 

No comments: