Ofisa
msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya akizungumzia
kuhusu mkutano mkubwa wa mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Ufaransa.
Evelina
Mageni ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa
mshiriki wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 akizungumza umuhimu
wa wakulima kushirikishwa katika kutunga sera, utunzaji wa ardhi kwa
ajili ya kilimo.
Kushoto
aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna
Kiogwe akichangia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa Habari
kuelekea mkutano mkuu wa Tabia nchi.
No comments:
Post a Comment