14 Nov 2015

TOROKA UJE UWANJA WA TAIFA LEO NI LEO SIO KESHO LEO HII


Leo ndio siku ya mechi kali ya kufuzu fainali za kombea la Dunia kati ya Taifa Star vs Algeria.
Mzalendo kama mimi tayari nimejipamba kuonyesha kama mimi ni Mtanzania mzalendo mpenda michezo.Tayari nimeshafika Uwanja wa Taifa[NATION STADIUM] kushuhudia mwenyewe sio kuhadhiwa.Nakushauri na wewe UTORKE uje kwani bado hujacheklewa MECHI INAANZA saa kumi jioni.Njoooooooooooooniiiiiiiiiiiiiiiii Jamani Tiafa kumenoga.

No comments:

Post a Comment