MIMI KWA NIABA YA FAMILIA YANGU TUNAKUTAKIA HERI YA SIKU YAKO YA KUZALIWA.TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA MAZURI,MUNGU AKUWEKE MBALI NA WENYE NIA MBAYA NAWE.ONYESHA UPENDO KWA WATU WOTE WAKUBWA NA WADOGO,LAKINI PIA EPUKA SANA KUMUAMINI MTU AMBAE NAFSI HAITAKI KUMWAMINI,JITAHIDI KUSIMAMIA MAMBO YAKO KATIKA HARAKATI ZAKO ZA KUENDESHA NA KUJITAFUTIA MAISHA MAZURI,NEVER FOR GIVE UP.
ILA TUPO NJIANI TUNAKUJA NA NDOO ZA MAJI JIANDAE KUOGA
No comments:
Post a Comment