Katibu
Tawala Mkoa wa Mwanza Faisal Issa (Katikati) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa
wa Mwanza, akifungua Mkutano wa Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini
Mwanza kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini
UWURA, Mamlaka ya Maji safi na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na
Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la
MWAUASA kutaka kupandisha bei ya maji kuanzia mwezi January mwakani.
Mwauasa
inatarajia kupandisha bei ya maji kutoka wastani wa shilingi 669.00 kwa
lita mita moja ya ujazo wa maji ambayo ni sawa na lita 1,000 hadi
wastani wa shilingi 1,075.74 hiyo ikiwa ni kwa watumiaji wa majumbani na
taasisi huku ujazo kama huo kwa matumizi ya kibiashara na Viwandani
ikifikia wastani wa shilingi 1,62500
Kulia ni Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu EWURA
Kushoto ni Osward Mutaitina ambae ni Mjumbe wa Bodi EWURA
Mkurugenzi
Mkuu wa MWAUASA Mhandisi Antony Sanga akiwasilisha hoja za Mamlaka hiyo
juu ya kupandisha bei ya maji. Hoja hizo ni pamoja na kuondokana na
hasara ya gharama za uendeshaji za hivi sasa na hivyo kuiwezesha
kukusanya mapato ambayo yatasaidia kuboresha utoaji wa huduma ya maji
safi na salama kwa wananchi.
Mkutano
wa Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini Mwanza kati ya Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji safi
na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini
Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha bei ya
maji kuanzia mwezi January mwakani.
Mhandisi
Thomas Mnunguli ambae ni Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la
Watumiaji wa Huduma zinazodhibitiwa na EWURA akitoa maoni ya baraza hilo
juu ya ombi la Mwauasa kutaka kuongeza bei ya huduma za maji.
Pamoja
na mambo mengine, baraza hilo liliishauri Mwauasa kudhibiti mianya ya
upotevu wa mapato jambo ambalo litasaidia kutoa huduma bila kupandisha
gharama ya maji.
Mkurugenzi
wa EWURA Kanda ya Ziwa Mhandisi Nyirabu Musira akitoa mwongozo katika
Mkutano wa Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini Mwanza kati ya Mamlaka
ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji
safi na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini
Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha bei ya
maji kuanzia mwezi January mwakani.
katika
Mkutano wa Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini Mwanza kati ya Mamlaka
ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji
safi na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini
Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha bei ya
maji kuanzia mwezi January mwakani.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza John Wanga
Diwani wa Kata ya Nyamagana Jijini Mwanza Biku Kotecha
Mwakilishi kutoka Pespi Mwanza
Mwakilishi kutoka Pepsi Mwanza
Maoni kutoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza
Maoni kutoka kwa wadau wa Maji Jijini Mwanza
Hata
hivyo baadhi ya wakazi wa Jiji la Mwanza wamependekeza Mwauasa
kutathimini upya juu ya ongezeko la gharama za huduma ya maji kwa
kulinganisha na mamlaka nyingine nchini ambapo EWURA itaendelea kupokea
maoni ya wadau/watumiaji wa maji kwa muda wa wiki mbili kabla ya kutoa
maamuzi yake hivyo wanatumiaji wa maji wanashauriwa kupeleka maoni yao
katika ofisi za EWURA Zilizopo jengo la NSSF Ghorofa ya Jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment