19 Nov 2015

Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!



Kitendawili cha nani kuwa Waziri Mkuu tayari jibu limepatikana na sasa ni  Kissim Majaliwa  ambaye alikuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI) Aliyekuwa akishughulikia Elimu.
Jina hilo la Waziri Mkuu liliweza kupelekwa Bungeni kwa mbwembwe na baadae kusomwa. na kutajwa jina hilo ambalo wengi wa hawakulitegemea.

Bunge lililipuka kwa shangwe kwani ilikuwa ni ‘Surprise’ kwa jina hilo kutajwa Bungeni, kushika nafasi kubwa katika nchi.

No comments:

Post a Comment